#LifeSnippets – Becoming Baba Nani.

*Of interesting things that happen to me and things that I happen to overhear.*

Setting – barbershop in the hood

Man 1 – late 20s, early 30s, office worker. Getting haircut.

Man 3 – mid-30s, hustler in the hood. Waiting in the queue.

Man 2 – Barber. Oldish guy.

 

imagesBABY
Man 2: Mbona umetulia hivi. Mawazo ni ya nini? Si ulimarry juzi. Mama ameenda nini?

Man 1: Sare za ovyo. Mi nataka mjunior mbaya. Nimepeleka mama mbio lakini wapi.

Man 2: Wacha nikuchapie. Hii kitu haitakangi mbio

Man 3: Eh. Mimi first born wangu nilikula mama kutoka first mpaka thirtyth ya mwezi ya kwanza. Halafu next month hivyo hivyo. Na bado hakuget ball. Mpaka ikakuwa tension kwa hao. Ndiyo mzae fulani akanichanua. Kula ni ka mchezo. Usifikirie stori ya mjunia.

Man 1: Nashangaa niaje. Nikicheza nje kitambo madem walikuwa wanaget ball na misitaki. Sahii nataka siget.

Man 2: Nimemarika for long. Nisikizeni. Mtoi ni God. Ukimwonyesha ati wewe ndiye unajua atakuonyesha si wewe. Utakula mpaka uchoke. Na usiget mtoi. Kwa hivyo tulia. Toa stori ya mtoi kwa kichwa. Kula mama bila pressure. Enjoy. Utashangaa atakuambia anaball.

Man 3: Imagine hivyo ndiyo kulienda. Ki-surprise tu mama akaniambia anaball.

Man 1: Wazi jo wasee. Nilikuwa nimeshangaa niaje.

Me: Aha!

Such is the level of intimacy men exhibit at a barbershop.

Also, conception and parenthood is as much a concern for men as for women.

And fathering a child (when said man is ready) is seen as a feather in the cap by most men.

GOD BLESS KENYA!

Advertisements

Comments are disabled.

%d bloggers like this: